Huduma za Serikali ya Kenya zimerahisishwa
Rekodi zako zote za serikali zimeunganishwa

Zaidi ya Huduma 5,000 za Serikali sasa zinapatikana kutoka Wizara, Kaunti, Idara na Mashirika zaidi ya 100.

Anza kutumia eCitizen leo

Kituo kimoja cha kupata huduma zote za serikali

Furahia urahisi. Pata maelezo kuhusu huduma za serikali mtandaoni na utume maombi haraka na kwa urahisi.

Akaunti moja, huduma zote za serikali
Unachohitaji ni akaunti moja tu. Raia na wakaazi wanaweza kujisajilisha kwa nambari ya kitambulisho
Wasifu mmoja wa raia uliounganishwa
Maelezo yako kama raia au mkazi kutoka serikalini yatafikika kupitia wasifu wako
Upatikanaji wa huduma kwa urahisi
Tafuta, omba na ulipie huduma mtandaoni, pata arifa za maendeleo na ufikia upakuaji wako wote mahali pamoja